CHUO CHA SANAA DAR ES SALAAM


"Kipaji ni Ajira. Sanaa ni Biashara"

new JIUNGE NA MARCH INTAKE
new JIUNGE NA SHULE YA UREMBO
Slide 1 Slide 2 chuo cha sanaa image chuo cha sanaa image chuo cha sanaa image chuo cha sanaa image chuo cha sanaa image chuo cha sanaa image chuo cha sanaa image chuo cha sanaa image

KARIBU!

Tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu kwenye tovuti rasmi ya Chuo cha Sanaa Dar es Salaam. Hapa ni kitovu cha umahiri katika kutoa mafunzo ya fani mbalimbali za Sanaa za kitamaduni na kisasa, pamoja na kufanya tafiti na kutoa ushauri katika tasnia ya Utamaduni na Sanaa nchini Tanzania. Tovuti hii ni rasilimali muhimu inayotoa taarifa, maarifa, na fursa katika tasnia hiyo.

Soma Zaidi

KALENDA YA MATUKIO

MATANGAZO

HABARI MPYA

Umuhimu wa Kuwa na Kipaji

Kipaji ni kitu cha kipekee kinachokufanya uwe tofauti na wengine. Kwa kuitambua na kuukuzaji, unaweza kufanikisha malengo yako na kujenga maisha yenye matokeo chanya. Jisajili leo na uanze safari yako ya kugundua na kuimarisha kipaji chako!


slide 1 slide 2 slide 3